Simba Sports Club
News

Timu yawasili Salama Dar es Salaam

9 Feb 2026

Baada ya kufika nchini kikosi kimeingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa Jumatano saa moja usiku katika dimba la KMC Complex.

Advertisement
Back to homepage
Share this story