Simba Sports Club
News

Timu yawasili salama Dar.

18 May 2025

Pamoja na kupoteza mchezo wa kwanza ugenini morali za wachezaji zipo juu na wapo tayari kupambana kuhakikisha tunatwaa ubingwa huu kwa mara ya kwanza.

Malengo yetu yanabaki yale yale kuwa tutapambana hadi tone la mwisho hadi tutakapofanikiwa kutwaa taji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story