Baada ya kufika wachezaji wamepewa mapumziko na kesho kikosi kitaanza mazoezi rasmi.
Wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na wapo tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya huku morali zao zikiwa juu.
Advertisement
Nyota wengine wapya tuliowasajili wataungana na wenzao kambini muda wote kutoka sasa baada ya kukamilisha taratibu za vibali.