Simba Sports Club
News

Timu yawasili salama Arusha

29 May 2025

Leo jioni kikosi kitafanya mazoezi ya utimamu wa mwili kufuatia mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars tuliopata ushindi wa bao moja

Kesho kikosi kitaanza safari ya kuelekea Manyara kwa ajili ya mchezo huo wa ambao utakaopigwa Jumamosi saa 10 jioni.

Advertisement
Back to homepage
Share this story