Simba Sports Club
News

Timu yawasili jijini Mwanza

20 Nov 2024

Kikosi kimeondoka na wachezaji 22 benchi kamili la ufundi.

Kesho jioni kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba ambao ndio tutautumia kwa mchezo wetu dhidi ya Pamba.

Advertisement

Tumeupa umuhimu mkubwa mchezo huo kwakuwa malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda kila mechi na hatuwezi kuidharau timu yoyote.

Mchezo dhidi ya Pamba ni muhimu kwetu na pia benchi la ufundi limepanga kuutumia kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravo Do Marquis ya Angola utakaopigwa Novemba 27.

Back to homepage
Share this story