Simba Sports Club
News

Timu yawasili Dodoma kufanya mazoezi jioni

9 Mar 2026

Kikosi kimeondoka jijini Dar es Salaam alfajiri kikiwa na wachezaji 25 na wote wapo kwenye hali nzuri.

Leo jioni kikosi kitafanya mazoezi katika Uwanja wa John Merlin hapa Dodoma na kesho asubuhi kitaanza safari ya kuelekea Singida.

Advertisement
Back to homepage
Share this story