Simba Sports Club
News

Timu yatua salama mkoani Kagera

25 Jan 2022 By simbasc 759 views

Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba saa 10 jioni.

Baada ya kuwasili wachezaji watapata mapumziko ya saa chache na jioni kitafanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba tayari kwa mchezo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story