Simba Sports Club
News

Timu yatua salama Mbeya, yapata mapokezi makubwa

15 Jan 2022

Idadi kubwa ya mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuwalaki wachezaji kitu ambacho kimewaongezea morali.

Baada ya kufika kikosi kitafanya mazoezi ya mwili kujiweka sawa (recovery) kwa ajili ya uchovu wa safari na kesho kitafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kushuka dimbani Jumatatu kuikabili Mbeya City.

Advertisement
Back to homepage
Share this story