Simba Sports Club
News

Timu yatua salama Marrakech

6 Dec 2023

Timu iliondoka jijini Dar es Salaam jana mchana ambapo ilipitia Doha Qatar na baadae Casablanca kabla ya kuunganisha hadi Marrakech.

Baada ya timu kufika Marrakech wachezaji watapewa muda wa kupumzika kutokana na uchovu wa safari kabla ya kufanya mazoezi ya utimamu wa mwili.

Advertisement

Kikosi kimewasili mapema nchini Morocco ambapo kitapata muda wa siku mbili kufanya mazoezi.

Back to homepage
Share this story