Baada ya kufika saa mbili asubuhi wachezaji watapumzika mpaka jioni watakapofanya mazoezi ya utimamu wa mwili (recovery).
Kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho kesho saa 10 jioni katika uwanja wa Bingu ambao utatumika kwa mchezo huo ambao tumejipanga kuhakikisha tunafanya vizuri.
Advertisement
Tumesafiri na wachezaji 25 ambao watakuwa chini ya kocha Juma Mgunda akisaidiwa na Seleman Matola.