Simba Sports Club
News

Timu yatua salama Dar es Salaam

26 Feb 2024 By simbasc 313 views
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam kutoka nchini Ivory Coast baada ya mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas uliopigwa usiku wa Ijumaa. Baada ya kufika timu itaanza maandalizi ya mchezo wa hatua ya 32 bora ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya TRA utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex, Februari saa moja usiku.  
Advertisement
Back to homepage
Share this story