Baada ya kutua Dar maandalizi ya mchezo wetu wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates yataanza mara moja.
Kwa sasa tumesahau kila kitu kilichotokea katika mechi yetu dhidi ya Polisi na tunaelekeza nguvu kwenye mchezo huo wa robo fainali.
Advertisement
Mchezo dhidi ya Orlando utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili Aprili 17, saa moja usiku.