Simba Sports Club
News

Timu yatembelea Ubalozi nchini Uturuki

21 Jul 2023

Luteni Jenerali, Yakubu ametutakia maandalizi mema kuelekea mashindano yaliyo mbele yetu huku akiwakumbusha wachezaji kuhakikisha wanapambana uwanjani kusaidia timu kupata ushindi.

"Nimefurahi sana kukutana nanyi hapa, nawakaribisha sana Uturuki jisikieni mpo nyumbani, sisi tutahakikisha mnapata kila kitu ambacho mnastahili.

Advertisement

"Binafsi niwatakie maandalizi mema kuelekea msimu mpya wa mashindano, kikubwa nasisitiza kwa wachezaji mjitume uwanjani kuipa timu ushindi na kuwapa furaha mashabiki," Balozi Yakubu.

Back to homepage
Share this story