Tumeondoka na wachezaji wote tuliosajili kwa ajili ya msimu huu ili kulipa nafasi benchi la ufundi kupanga kikosi kwa ajili ya mchezo huo ambao malengo yetu ni kuibuka na ushindi.
Baada ya kikosi kufika Zanzibar jioni kitafanya mazoezi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo huo.
Advertisement
Wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na morali zao zipo juu wakiwa na matumaini makubwa ya kupindua meza na kuibuka na taji la ubingwa.