Baada ya kuwasili kikosi kimeingia kambini moja kwa moja kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi unaofuata dhidi ya Namungo utakaopigwa Ijumaa saa 10 jioni Uwanja wa KMC Complex.
Wachezaji wapo kwenye hali nzuri na hakuna aliyepata maumivu kwenye mchezo wa jana ambayo yatamfanya kukosa maandalizi ya mechi ijayo.