Simba Sports Club
News

Timu yarejea salama jijini Dar es Salaam

11 Apr 2023

Baada ya kurejea kikosi kinaanza moja kwa moja maandalizi ya mchezo wetu wa Derby dhidi ya watani Yanga utakaopigwa Jumapili ijayo Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11 jioni.

Tayari viingilio vya mchezo vimetangazwa na tunaendelea kuwaomba mashabiki wanunue tiketi kwa wingi.

Advertisement

Matarajio yetu ni kuona mashabiki wanajitokeza kwa wingi na kujaza majukwaa yetu yote kama tunavyofanyaga tukikutana na mtani.

Back to homepage
Share this story