Kikosi kiliondoka nchini Tunisia jana asubuhi kupitia Uturuki kilipounganisha ndege hadi jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuwasili timu itaanza mara moja maandalizi ya mchezo unaofuata wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos Do Marquis ya Angola utakaopigwa Januari 12.
Advertisement
Mchezo dhidi ya Bravos utapigwa katika Uwanja wa Novemba 11 nchini Angola saa moja usiku kwa saa za Tanzania.