Simba Sports Club
News

Timu yarejea salama Dar

25 Apr 2022 By simba 588 views

Kikosi chetu kimerejea salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka nchini Afrika Kusini baada ya kumaliza ratiba ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika jana.

Advertisement

Kikosi kilianza safari ya kurejea nyumbani kutoka Afrika Kusini mchana na kimetua salama nyumbani kwa ratiba nyingine.

Baada ya kutolewa na Orlando Pirates kwa mikwaju ya penati sasa tunaelekeza nguvu katika michuano ya Ligi Kuu pamoja na Azam Sports Federation Cup huku tukijiandaa na maandalizi ya mchezo wetu wa Derby wikiendi ijayo mara moja.

Back to homepage
Share this story