Simba Sports Club
News

Timu yarejea mazoezini

13 Nov 2025

Wachezaji waliorejea mazoezini ni wale ambao hawapo kwenye majukumu ya timu zao za Taifa.

Mchezo wetu wa kwanza wa hatua ya makundi utakuwa dhidi ya Petro De Luanda utakaopigwa Novemba, 22 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Advertisement

Mchezo wa pili wa hatua ya makundi utapigwa Novemba, 30 dhidi ya Stade Malien nchini Mali.

Wachezaji waliopo kwenye timu zao za Taifa watajiunga na wenzao mara tu watakapomaliza majukumu yao.

Back to homepage
Share this story