Kikosi kimefanya mazoezi ya Gym ili kurejesha miili ya wachezaji sawa kutokana na kupata mapumziko ya siku kadhaa.
Mazoezi hayo yamesimamiwa na kocha Msaidizi Seleman Matola na wataendelea na programu ya mazoezi mpaka watakapoanza safari ya kuelekea Zanzibar.
Advertisement
Kikosi chetu kitashuka dimbani Januari 3 kuikabili Muembe Makumbi katika mchezo wa kwanza ambao utapigwa Uwanja wa New Amaan saa mbili usiku.