Simba Sports Club
News

Timu yarejea mazoezini

24 May 2023

Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena chini ya Kocha Mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' pamoja na wasaidizi wake.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri morali ikiwa juu kuhakikisha tunapata pointi tatu kwenye michezo hiyo.

Advertisement

Mchezo wetu inayofuata utakuwa dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigiwa Juni 6, wakati wa mechi ya mwisho itakuwa dhidi ya Coastal Union Juni 9 na zote tutakuwa nyumbani.

Back to homepage
Share this story