Simba Sports Club
News

Timu yarejea mazoezini kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika

13 Jan 2026

Baada ya kukamilisha michuano ya Mapinduzi wachezaji walipewa mapumziko ya siku chache na sasa wamerejea mazoezini.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo chini ya Kocha Mkuu, Steve Barker hata wale waliokuwa katika majukumu ya timu za Taifa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story