Baada ya kuwasili kikosi kitaanza mara moja maandalizi ya mchezo wetu wa ligi unaofuata dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Januari 17 Uwanja wa Mkapa.
Wachezaji waliokuwa na timu na Zanzibar pamoja na wale wengine waliokuwa wamebaki kwa sababu tofauti wote wataanza maandalizi hayo.
Advertisement
Kocha Mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' ataongoza maandalizi hayo pamoja na wasaidizi wake Juma Mgunda na Seleman Matola