Timu iliondoka Jumanne kuelekea Zanzibar na imekaa siku saba na kufanya mazoezi chini ya Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha.
Baada ya kuwasili Dar es Salaam kikosi kimeingia kambini moja kwa moja na programu ya mazoezi itaendelea kama kawaida.
Advertisement
Kambi ya Zanzibar imeenda vizuri na wachezaji wote wamerudi wakiwa katika hali nzuri kimwili na kiakili.