Simba Sports Club
News

Timu yarejea kujiandaa na Polisi, Coastal

1 Jun 2023

Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena chini ya kocha mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' pamoja na wasaidizi wake.

Mchezo wetu unaofata utakuwa dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigiwa Juni 6, wakati wa mechi ya mwisho itakuwa dhidi ya Coastal Union Juni 9 na zote tutakuwa nyumbani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story