Simba Sports Club
News

Timu yarejea jijini Dar es Salaam

13 Feb 2024

Baada ya kikosi kurudi wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja na Jumatano wataingia kambini kabla ya Alhamisi kushuka dimbani kuikabili JKT Tanzania.

Pamoja na ugumu wa mechi kutokana na ligi kuelekea mzunguko wa pili tumejipanga kuhakikisha tunashinda kila mchezo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story