Baada ya timu kurejea Dar es Salaam maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu unaofuata dhidi ya Pamba Jiji ambao utachezwa Machi 19 katika Uwanja wa CCM Kirumba.
Kikosi kitandoka Jumanne usiku kuelekea Mwanza tayari kwa mchezo huo ambao tunategemea utakuwa mgumu.
Advertisement
Malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda katika mchezo uliopo mbele ili kuweza kufanikisha mpango wa kutwaa ubingwa.