Baada ya kurejea wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja na kesho kitarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Jumatano tutakuwa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars ambao utapigwa katika Uwanja wa KMC Complex saa 10 jioni.
Advertisement
Baada ya kumaliza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika sasa tunaelekeza nguvu zetu kwenye ligi pamoja na CRDB Federation Cup.