Baada ya kurejea wachezaji wamepewa mapumziko ya siku tatu na baada ya hapo kikosi kitarejea mazoezini kuendelea na maandalizi ya msimu.
Wachezaji walioitwa kwenye timu za Taifa wamepewa ruhusa ya kwenda kujiunga nazo na watakakapomaliza majukumu watajiunga na kikosi.
Advertisement
Jumatatu kikosi kitarejea mazoezini kuendelea na programu ya mwalimu.