Uongozi wa klabu unaendelea kufuatilia utaratibu wa kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya 2022/23 (Pre season).
Zoezi la kusajili nyota wapya linaendelea na kuanzia wiki ijayo tutaanza kutangaza wachezaji ambao hatutaendelea nao na wale tutakaowatoa kwa mkopo.
Advertisement
Tunajipanga kuhakikisha tunarudi kwa nguvu msimu ujao na kurejesha mataji yetu tuliyo poteza.