Simba Sports Club
News

Timu yarejea Dar wachezaji wapewa mapumziko

2 Mar 2026

Baada ya kufika Dar es Salaam wachezaji wamepewa mapumziko ya siku mbili ambapo Jumatano watarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa hatua ya 32 ya CRDB Federation Cup dhidi ya B19.

Mchezo dhidi ya B19 utapigwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Jumamosi, Machi 7 saa moja na robo usiku.

Advertisement
Back to homepage
Share this story