Baada ya kurejea wachezaji wamepewa mapumziko mafupi kabla ya kesho kuanza maandalizi ya mchezo unaofuata.
Mchezo unaofuata utakuwa Novemba 6, dhidi ya KMC
Advertisement
Kabla ya kuanza safari kikosi kilifanya mazoezi ya utimamu wa mwili mkoani Kigoma ili kuwaondoa wachezaji na uchovu wa mechi.