Baada ya kikosi kurejea maandalizi ya mchezo wa ligi wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate utakaopigwa siku ya Alhamisi.
Kesho kikosi kitarejea mazoezini kujiandaa na mchezo huo ambao utapigwa katika Uwanja wa KMC Complex saa 10 jioni.
Advertisement
Baada ya mchezo wa Alhamisi kikosi kitaendelea na maandalizi ya mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili.