Simba Sports Club
News

Timu yarejea Dar

8 May 2023

Kikosi kimewasili mchana na wachezaji wamepewa ruhusu ya kwenda kupumzika.

Kesho jioni kikosi kitarejea tena mazoezini katika Uwanja wa Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Ruvu Shooting.

Advertisement

Mchezo dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa siku ya Ijumaaa May 12, saa 1:00 Usiku katika Uwanja wa Azam Complex.

Kwa sasa tumebakisha michezo mitatu ya ligi kuu ukiwemo wa Ijumaa na miwili ya mwisho itakuwa dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal Union.

Back to homepage
Share this story