Simba Sports Club
News

Timu yapewa mapumziko ya siku tatu

24 Dec 2023

Timu itarejea mazoezini Disemba 27 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya michuano ya Mapinduzi ambayo hufanyika kila mwaka Visiwani Zanzibar.

Mchezo wetu wa kwanza wa michuano ya Mapinduzi utakuwa Januari Mosi dhidi ya Jamhuri utakaopigwa Uwanja wa Amaan saa 2:15 usiku.

Advertisement
Back to homepage
Share this story