Simba Sports Club
News

Timu yaondoka Tanga kuelekea Moro kuifuata Mtibwa

14 Aug 2023

Mchezo huo ambao tunaamini utakuwa mgumu utapigwa Alhamisi saa 10 jioni katika Uwanja wa Manungu Complex.

Tumeamua kuunganisha moja kwa moja hadi Morogoro kutokana na muda kuwa mfupi kutoka leo hadi Alhamisi.

Advertisement

Baada ya kufika Moro kikosi kitapumzika na kesho kitaanza mazoezi ya kujiandaa na mtanange huo.

Back to homepage
Share this story