Simba Sports Club
News

Timu yaondoka Dar kuifuata Namungo

17 Apr 2026

Kikosi kimeondoka kwa Ndege mpaka Mtwara ambapo wachezaji watapumzika mpaka kesho asubuhi wataanza safari ya kuelekea Ruangwa, Lindi.

Kabla ya kuondoka Dar es Salaam kikosi kilifanya mazoezi asubuhi katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena ili kujiweka sawa.

Advertisement

Kesho jioni kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Majaliwa ikiwa na maandalizi ya mwisho kabla ya kuivaa Namungo, Jumapili.

Back to homepage
Share this story