Simba Sports Club
News

Timu yahamishia kambi jijini Cairo

15 Aug 2025

Wakati kikiwa katika kambi ya Ismailia kikosi kimefanikiwa kucheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya Kahraba Ismailia SC na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Baada ya kufika Cairo kikosi kitaendelea na programu ya mazoezi kwa siku nyingine 15 kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam.

Advertisement

Kikiwa kambini jijini Cairo kikosi kinatarajia kucheza mechi kadhaa za kirafiki ili kuliwezesha benchi la ufundi kuona jinsi wachezaji walivyoshika mafunzo wanayopewa.

Kikosi kitarejea jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi huu tayari kuanza msimu mpya wa Ligi.

Back to homepage
Share this story