Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho Uwanja wa Maisara

2 Jan 2026

Wachezaji wote 24 ambao tumesafari nao wapo kwenye hali nzuri na wapo tayari kwa ajili ya kuanza michuano hiyo ambayo malengo yetu ni kutwaa ubingwa.

Pamoja na kuwa na timu kwa muda mfupi lakini kocha mkuu, Steve Barker ameendelea kuridhishwa na viwango vya wachezaji wanavyoonyesha mazoezini.

Advertisement

Tutaingia katika mchezo kwa kuwaheshimu Mwembe Makumbi lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda.

Back to homepage
Share this story