Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Tanga

9 Aug 2023

Kikosi kimeeondoka jijini Dar es Salaam jana mchana baada ya mazoezi ya asubuhi na leo wamefanya mazoezi a mwisho.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kamili kwa ajili ya mchezo wa kesho.

Advertisement

Tunatarajia kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Singida Big Stars lakini tupo tayari kupambana kuhakikisha tunashinda ili kutinga fainali.

Back to homepage
Share this story