Kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) timu mgeni inatakiwa kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo katika uwanja ambao utatumika ili kuuzoea.
Wachezaji wote 24 tuliokuja nao wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri na hakuna yoyote ambaye amepata maumivu ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Advertisement
Morali ya wachezaji ipo juu na kila mmoja ameonyesha jitihada kubwa mazoezini ili kulishawishi benchi la ufundi kumpa nafasi katika mchezo wa kesho.