Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho Somhololo

18 Oct 2025

Wachezaji wote 22 waliopo kikosini wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na hakuna yoyote ambaye atakosekana kutokana na kupata majeraha.

Wachezaji wameendelea kuzoea mazingira ya hali ya hewa ya hapa Eswatini hasa ukizingatia kuna baridi kali asubuhi na usiku.

Advertisement

Maandalizi yote ya mchezo yamekamilika tunasubiri muda ufike tushuke dimbani huku lengo letu likiwa ni kupata matokeo chanya ugenini.

Back to homepage
Share this story