Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho Singida

10 Mar 2026

Nyota wote 25 tuliosafiri nao wameonekana kuonyesha jitihada kubwa wakiwa na ari na morali ya hali juu tayari kwa mchezo huo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa.

Kocha mkuu Steve Barker na wasaidizi wake wamekuwa wakiwasisitiza wachezaji kuwa watulivu muda wote na kutumia vizuri nafasi tutakazopata.

Advertisement

Mchezo wa kesho tumeupa umuhimu mkubwa na tumejipanga kuhakikisha ugenini ingawa tunafahamu haitakuwa kazi rahisi.

Back to homepage
Share this story