Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho Sheikh Amri Abeid

14 Apr 2026

Wachezaji wapo kwenye hali nzuri wakiwa na ari na morali ya hali juu tayari kwa mchezo huo ambao ni muhimu kwetu kupata alama tatu.

Mapema wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kocha mkuu, Steve Barker aliweka wazi kuwa hatutaidharau kwa namna yoyote Fountain licha yakutokuwa kwenye nafasi nzuri.

Advertisement

Tutaingia kwenye mchezo wa kesho tukiwa na kumbukumbu ya sare tuliyoipata dhidi yao tulipokutana mara ya mwisho jijini Arusha.

Back to homepage
Share this story