Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Nyamagana

27 May 2022

Morali ya wachezaji ipo juu kuelekea mchezo wa kesho kila mmoja amejitahidi kufanya vizuri mazoezini ili kulishawishi benchi la ufundi kumpa nafasi kwenye mechi ya kesho.

Tunajua mchezo utakuwa mgumu na tunaiheshimu Yanga lakini tunahitaji zaidi ushindi ili tutinge fainali ya michuano hii ambayo sisi ni mabingwa watetezi.

Advertisement

Mchezo wa kesho utaanza saa 9:30 alasiri katika Uwanja wa CCM Kirumba.

Back to homepage
Share this story