Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho nchini

26 Nov 2025

Kikosi kitaondoka kesho alfajiri kuelekea Mali tayari kwa mchezo dhidi ya Stade Malien ambao utapigwa Jumapili saa moja usiku kwa saa za Tanzania.

Nyota wawili Moussa Camara na Abdulazak Hamza ndio pekee ambao hawajashiriki mazoezi hayo kutokana na kuendelea kuuguza majeraha lakini wengine wote wapo kamili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story