Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri kamili kwa mchezo wa kesho ambao tunaamini utakuwa mgumu.
Aidha, muda wa mchezo wetu utakaopigwa Uwanja wa Mohamed wa V umebadilika kutoka saa moja hadi saa mbili ambapo nyumbani Tanzania itakuwa saa nne usiku.