Simba Sports Club
News

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena

4 Nov 2023

Wachezaji wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na wamejitahidi kuonyesha uwezo ili kulishawishi benchi la ufundi kuwapa nafasi.

Kocha Mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' na wasaidizi wake wamesimamia mazoezi hayo na wameridhishwa na viwango vya wachezaji.

Advertisement

Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu na tunaiheshimu Yanga lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi.

Back to homepage
Share this story