Mchezo huo ambao tunategemea utakuwa mgumu na wenye ushindani mkubwa utapigwa kesho saa mbili na robo usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na hakuna aliyepata maumivu ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.
Advertisement
Tutaingia kwenye mchezo huo kwa kuiheshimu Namungo kutokana na ubora walionao lakini tupo tayari kupambana hadi mwisho kwa ajili ya kutafuta alama tatu.