Simba Sports Club
News

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho Mo Arena

4 Apr 2026

Wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri wakiwa na ari na morali ya hali juu tayari kwa mchezo huo ambao ni muhimu kwetu kupata alama tatu.

Mchezo dhidi ya Azam haujawahi kuwa mwepesi na mara zote ushindani unakuwa mkubwa lakini tumejiandaa na tupo tayari kupambana mpaka mwisho ili kupata alama tatu ugenini.

Advertisement

Tutaingia kwenye mchezo wa kesho tukiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya Coastal Union siku ya Alhamisi.

Back to homepage
Share this story